IBADA YA NJIA YA MSALABA
HTML-код
- Опубликовано: 10 апр 2025
- Hii ni ibada nzima ya njia ya msalaba, inayoadhimishwa kila Ijumaa katika kipindi cha Kwaresma. Uwapo wake katika mtandao utawasaidia wale wasioweza kuhudhuria kanisani au katika vituo maalumu vya ibada kutokana na maradhi, safari, majukumu ya kimaisha, walioko vitani na hata wafungwa, kushiriki ibada nzima kwa utulivu mkubwa. Mungu awabariki wote
KITUO CHA PILI.
Yes anapokea msalaba.
-Ee Yesu, tunakuabudu, tunakushuru.
-Kwa kuwa umewakomboa watu kwa msalaba mtakatifu.
Yesu anakubali kuelemewa na msalaba kwa ajili ya wokovu wa watu. Ndivyo anavyonifundisha moyo wa sadaka, moyo wa kujitolea na kujisahau kwa ya wengine.
Ee Yesu wangu mkarimu, mimi pia ninao msalaba wangu; jirani zangu, mwezangu wa ndoa, watoto, wazazi wangu, kazi zangu, joto, baridi, njaa, kiu, vishawishi, magonjwa na matatizo mengine ya maisha, wajibu wangu kwa Mungu, kwa Umma na kwa Kanisa, Hayo yote in msalaba. Unipe ukarimu wako ee Yesu, niyapokee bila ya kunung'unika, na kuyabeba vema.
Baba yetu..................
Salamu Maria...........
Atukizwe Baba na....
K.Ee Bwana, Utuhurumie...............
W.Utuhurumie..........
Roho za waumini wapate rehema kwa Mungu, wapumzike kwa amani. Amina.
Ona muumba mbingu na nchi yupo chini mzingo wamwelemea na mtu kiumbe chake kwa ukali Ampiga, ampiga bila huruma
Glory and Thanks to God for this ....May the Fasting Christ meet us at our place of need...
Ee yesu wangu uniimarishe kwan nko kweye inchi isio na wakristo nisaidie ee yesu wangu na unipiganie mana nisukukosuko ni mingi
Same here,,Mungu atusaidie
Na muombea mama Margret Auma Omolo a weze kupata uponyaji wa macho yake.
Ee yesu mwema usimamie njia zetu za maisha na utupe moyo wa kurudi kwako pale ambapo dunia imekua imetuficha
Ee yesu wangu naomba hunisamehe makosa yangu amen
najivunia kuwa mkatoliki, asanteni sana dada zetu kwa kututafakarisha.
Asante sana Mungu wangu nimeweza kusali kanisani na nyumbani .
Nimeweza kuendelea kufanya Toba ya kweli
I feel much blessed, thanks for coming up with an alternative for those of us who are committed
KITUO CHA NANE.
Akina mama wanamlilia Yesu.
-Ee Yesu tunakuabudu tunakushukuru
- Kwa kuwa umewakomboa watu kwa msalaba wako mtakatifu.
Asanteni sana akina mama kwa moyo wenu wa huruma.
Ee Yesu uliyetulizwa na wanawake, unripe moyo wa kuwaheshimu akina mama wote. Uwaite na wasichana wengi waingie utawa, ili watulize Moyo wako Mtakatifu kwa sala na sadaka zao.
Baba yetu..................
Salamu Maria...........
Atukuzwe Baba na...
K.Ee Bwana, utuhurumie...............
W.Utuhurumie..........
Roho za waumini wapate rehema kwa Mungu, kwa amani. Amina.
Mwokozi sasa ni ya tatu Waanguka chini ya msalaba Katika dhambi za uregevu Nijue, nijue kutubu hima.
KITUO CHA NNE.
-Ee Yesu tunakuabudu, tunakushukuru
-Kwa kuwa umewakomboa watu kwa msalaba wako mtakatifu.
Wote wawili mama na mwanawe wanaumia moyoni kwa ajili ya dhambi zangu.
Ee Yesu, Mwana wa Maria, unitilie moyoni mwangu upendo na Ibada kwa Bikira Maria, unijalie na ulinzi wake, nisitende dhambi tena.
Baba yetu..................
Salamu Maria...........
Atukuzwe Baba na...
K.Ee Bwana, utuhurumie...............
W.Utuhurumie..........
Roho za waumini wapate rehema kwa Mungu, wapumzike kwa amani. Amina.
Kwa simon heri ya kweli Mimi pia Yesu nisaidie kuchukua mzigo wa ukombozi Kuteswa, kuteswa pamoja naye.
Nawa ombea marehemu wote wa familiar yangu ma ukoo.warehemu mungu wangu.
Nashkuru Mungu nimesoma njia ya msalaba nikiwa 🇸🇦 najivunia kuwa mkatholic Mungu nipe moyo kama ya mwanao niweze ku ubeba msalaba wangu AMINA
KITUO CHA TISA.
Yesu anaanguka mara tatu.
-Ee Yesu tunakuabudu, tunakushukuru
-Kwa kuwa umewakomboa with kwa msalaba wako mtakatifu.
Ee Yesu unayezidi kudhoofika kwa mateso unaanguka mara ya tatu, upate Kunistahilia neema ya kuutiisha mwili Wangu name kuusulibisha, licha ya kuepuka nafasi za dhambi.
Mara ngingi mno ninajibovusha kwa kupenda mno starehe, na tafrija. Ee Yes .wema, nisaidie kuufuata mfano wa mtakatifu Paulo, niutese mwili wangu na kuutumikisha, ili nipate siku moja tuzo mbinguni.
Baba yetu..................
Salamu Maria...........
Atukuzwe Baba na...
K.Ee Bwana, utuhumie...................W.Utuhurumie..........
Roho za waumini wapate rehema kwa Mungu, wapumzike kwa amani. Amina.
Muje malaika wa mbingu Funikeni mwiliwe kwa huruma Vidonda vyake na utupu Askari, askari wamemvua.
Ee Yesu mwema, kwa ajili ya mateso yako, tusaidie kuzizika dhambi zetu zote na ubaya ulioko ndani ya mioyo yetu ili kwa nguvu ya ufufuko wako, tuweze kupata mabadiliko ya kweli ya mioyo na kuchukua hatua za kukufuata kwa dhati
Hakika hii ni zaidi ya bahati sana kuwa na ibada hii yote katika video moja tu. Hii itawasaidia wengi sana kushiriki hata kama wako kwenye mazingira yasiyoruhusu
Hakika msalaba waponya roho. Huu ni ufariji tosha
Hakika
Hakika
Kwel kaka me mwenyw nmefurah kushiriki kwa kusikiliza
nieeeeeeeeeeeeee3e3
Ee bwana Yesu Christo naomba ufufuke nami. Maria Mtakatifu mama wa Mungu niongoze kwa mwanao
Ee yesu wangu umepata mateso kwa ajili yetu na yote hayo kwa ajili yakutukomboa,naomba unikomboe kwani misukosuko ni mingi.
Wapendwa katika kiristo napenda kuwakumbusheni kuwa katika kipindi hiki cha kwarezma tutubu makosa yetu na tuweze kumrudia mwenyezi Mungu nawatakieni kwarezma njema
Najivunia ukatoliki wangu,,nasadiki kwa kanisa moja katoliki la mitume😘😘🙏🙏
Hongereni sana FAHARI YA MKATOLIKI
Amen asante kwa kusali pamoja njia ya msalaba
If you here in 2024 easter.. Happy Easter
Lord have mercy on us
Aksanti
Baba uturehemu sis wadhambi
❤❤❤
Nashukuru kwa sala ya njia ya Msalaba imetusaidia wengi ambao hatukushiriki Kanisani.Mungu awabariki 🙏
Asante kwa sala hii
Ee yesu ninaomba kwawema wako utusamehe dhambi zetu mimi na familia yangu utuoshe na damu yako iliomwagika msalabani.
Umetusaidia Sana Kwa hii salary Kwa kuwa Sisi wengine tumefungiwa na KAZI Hadi haturuhusiwi kwenda inje siku ya Leo ubarikiwe sana
Garland Greens
Kwa ajili ya Madonda yako mtakatifu, utupatie msaada tunaohitaji kama famili
Hakika nimepata balaka kubwa sana leo asante sana Mwenyez Mungu akujalie ili uendelee kuineza injili bila kuchoka
Bwana unihurumie🙌🏻🙌🏻🙌🏻nisitende dhabi tena🤲🏼🤲🏼🤲🏼
Nikiwa UAE nashiriki njia ya msalaba kwa kufwatilia Fahari ya mkatoliki Hongereni Sana
Mungu mwema awabariki mno, leo nimeweza kusali njia ya msalaba kwasababu ya Ibada Hii, Shukrani mno. Watching from Cuba, i have been blessed.
Amen 🙏🙏 najisikia niko pamoja na wengine......mungu awabariki
Msalaba uponya roho,napenda sana njia ya msalaba hunipa tafakari ya kina
Ee Mungu Mtakatifu tunakutukuza kwa wema wako, mapenzi msamaha na uaminifu wako. Ee Yesu mwana wa Mungu nawe Roho Mtakatifu katika ushirika Wa Mungu Baba, mtuhurumie, mtusamehe, na kutuhifadhi katika imani. Twawaombea wote roho za marehemu wapenzi na roho za wote zinazotezeka toharani kwa kulipia dhambi na makosa yao waliotenda uahini. Wapunguzie matezo na kuwajalia mwangaza wa uso wako na kuwapa mamlaka ya kutuombea sisi mbele zako ili na sisi tujaliwe kufika uliko wewe. Ahsante mliotuletea hii ibada. Mungu awaangazie na neema zake. Amina
Alex Shore
Hakika mnaakisi jina lenu.. Mnatufanya tunajisikia Fahari ya kuwa wakatoliki
Kazi nzuri kabisa, baraka tele 🙌
Mungu awabarik San kwa kutuletea tafakari ya njia ya msalaba kwa pamoja na tumeipokea kwa MOYO 🙏🙏
😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊
Amina🙏
Amina jesu nikumbuke katika safari ii
Ee yesu unirehemu na unisafishe dhambi zangu unipokee siku ya ufufuko wako.
Nimeshiriki njia ya msalaba Leo nikiwa mjini Nairobi, Kenya. Mungu nisamehe dhambi kwa kujua na kutojua maana Mimi in mdhaifu.
🙏🙏🙏
Said The Stations Cross your prayers and the prayers in my Swahili prayer book “ YOTE KWAKO EE MOYO MTAKATIFU WA YESU” Mwenywezi Mungu na awabariki muzidi kushare video za sala na pia nyimbo za kumuimbia Yesu Mona Mama Maria. Amina.✝️✝️💟💟💜💜🙏🙏🙏📿📿📿📿📿📿📿📿📿📿📿📿📿
Amina. 🙏
Mwenyezi mungu awabariki watumishi wa mungu nawakatoriki wote najivunia kuwa mkatoriko tutubu zambi zetu kwa kufunga na kwarezima hii amina
Ameni kujiunga kusali njia ya msalaba
Inaanza lini jia ya msalaba
Sijaweza kufika kanisani leo lakn nimeweza kusali apa. Thanks
Nabarikiwa sana
Najivunia kuwa mkatoliki Mungu anibariki na kuendelea kunijaza Imani nisitetereke
Namahukuru Mungu. Kwakuniita kwenye ukatoriki
Mungu awe pamoja nanyi cku zote, muendelee kutuweka karibu na uwepo wa Mungu milele na milele. Amina
Asante sana dada Dorah...
Kipindi hiki na kijacho Sala ni dawa ya moyoni
Mandiko matakatifu yasa.tuarue mioyo yetu si mazi pia tutubu nakuiani injili
Njia ya msalaba in ishara kwa wanadamu wrote duniani kwamba Bwana wetu Yesu Kristo aliyapitia Hivyo Mungu na apewe sofa Amina
Eeeh bwana utuhurumie
Nashukuru Sana Kwa HiI Ibaada
Thank you
Amen na barikiwa sana nikiwa Omani naipata vizur
Amina,, na imetusaidia mno. Mungu awabariki nyote mliohusika Kwa uandalizi...
Na kuiponya familia katika maumivu haya makali
Asante yesu🙏🙏🙏
Bwana utuhumie
Amina, Mungu anisamehe makosa yangu na anipatie afya njema
Amina Sana najivunia kuwa mkatoliki.
This is a God sent in this very scary and desperate time of covid19. Barikiwa saaana mliotuandalia hii ibada kwa Utukufu wa Bwana Mungu wetu kupitia Mwanae Yesu Kristo. Naipata huku marekani. Nawaombea nyote kwa wakati huu mgumu! Tumshukuru Mungu pia kwa kuwezesha hii sala ya ibada ya njia ya msalaba kuweza kusambazika kwa njia hii. Najisikia nyumbani wakayi wa ujana wangu!
Asante kwa njia ya msamaha,watching from saudi Arabia
Nimeilewa vizuri sana. Mbona yaanzia kituo cha Kumi na Tatu.
Amina sana Fahari ya Mkatoliki
asanteyesu
God forgive me my sins & pray for me🙏🙏
Lord 🙏🙏🙏 have mercy on me 🙌🙌🙌
Asante sana
Ameen
Jesus is the healer of soul and body.
Najivunia kuwa mkatoliki
Amen 🙏
God save our souls. May we be able to please you in this new world order.
Hakika Mungu ni mwema.🙏🏿
Asante sana kwa hii
Nitumie wasapuu ibada ya njia ya mslaba namba 0684749814
Tutumie sms kwa whatsapp number 0763 305 605 tukutumie upesi...
Amina thank you Jesus 🙏
Mungu akubariki sana kwa sala hii kuwa ktk mtandao. Hasa kipindi hiki kigumu cha mlipuko wa ugonjwa wa corona
Asante. Mungu atudumishe pamoja katika fahari ya mkatoliki y katoliki
Mungu awabalik san
mung azidi kuinia kipaj chenu
Thanks Jesus❤
Hakika MUNGU ni mwema kila wakati AMANI ya BWANA IWE NANYI
💓💓💓💓💓💓❤️
Thank you my Lord jesus..
Amina.
aminaaa
Najivunia kuwa mkatolic
Amina
Amen
Mungu awabarik njia ya msalaba imekuwa faraja kwaku hasa ktk kipind hiki kigumu ninachopitia .Ee YESU kwa kupigwa kwako sisi tumepona naomba univushe katika haya magumu amina
Thank you Jesus 🙏
Blessings 🙏
usitupe.... au ..utupe leo mkate wetu kila siku nafikiri matamshi ktk kipengele cha sala kuu ya Baba yetu mmechanganya
Mpendwa Chris ,,,utupe Leo mkate wetu wa Kila siku amina,,,
Najivunia kuwa mkatoli
Ameen